Natafuta lifti ya Dar kwenda Mwanza

Natafuta lifti ya Dar kwenda Mwanza

Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?

Watu wanakushangaa kwa sababu si kawaida yetu Watanzania. Kuna page ya rides-for-share lakini naona sasa hivi hawa accept new members, kule rides nyingi za Nairobi, Arusha, Mbeya, Morogoro, Mwanza, ratiba yako ikiwa flexible inakuwa rahisi zaidi kupata "lift", wakati mwingine bure kabisa wakati mwingine mnashare cost ya mafuta!
 
Hivi kwel hata huoni aibu upewe lift ya bure kutoka dar to mwanza?lift huwa zinatolewa kutoka ubungo to kimara na sio umbali mrefu hvyo.
 
Ndo nyie mnakatwa makoromeo Na viungo vya siri kwa kupenda lifti..!!
 
Mhhhh wanaume nao siku hizi wanapenda vya bure. Tafuta jamaa wa kukununulia gari kabisa.
 
Mkuu angalia lifti izo waweza ambiwa nawe hapa kazi tu maana vijana wamechachamaa kwel
 
Inabidi utueleze kwanza ulifikaje Dar? au mwendelezo wa kusombwa kujaza uwanja kwenye kuapishwa JPM. Hapa kazi tu...hata kutembea ni kazi pia chapa mwendo mpaka mwanza na pole kwa kuachwa solemba
 
Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?
Gari nyingi za IT route yake ni Mbeya Tunduma, kwa Mwanza sidhani ila mjifunze kuplan safari zenu mapema lile daladala lenu linaloruka angani Dar Mwanza nauli yake sawa na bus tu ukiplan safari yako mapema.

Nb: nimejaribu kujielewesha mwenyewe kukuelewa kwamba hutaki kusafiri bure bali unataka kusafiri kwa gari ndogo kwa malipo.
 
Mkuu kuna lori kama vipi twenzetu full comfortable ..ila ntakuacha tinde mana naelekea goma
 
Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?

Naondoka Dar saa kumi asubuhi kesho kwenda Chugga........nipo mwenyewe.........twende unipe company.........
 
Anaesafiri kwa gari private kesho jmosi trh 7/11 natafuta lift ya kwenda mwanza kutoka dar. Au pia usafiri gani wa basi gani ambalo ni comfortable naweza kutumia?

nimecheka siku nzima! hii ndo post kali ya nwaka
 
Naondoka Dar saa kumi asubuhi kesho kwenda Chugga........nipo mwenyewe.........twende unipe company.........
@Preta kwenye RED Ni wapi huko! Maana ktk baadhi ya lugha za makabila hicho ni kitenzi hatari!!
 
Wewe unavamia gari binafsi safari ndefu kiasi hicho una uhakika na leseni au uwezo wa dereva wa gari private. Mimi mara nyini safari za mkoa to mkoa mtu hanidanganyi nipande private car inayoendeshwa na dereva nisiemjua. Mara mia nipande basi au hata gari la mizigo chance ni kubwa ya kukwepa ajari ukilinganisha na gari binafsi ya dereva usiekuwa na uhakika wa uwezo wake barabarani. Lakini hawa madereva wa kila siku hadi ramani ya barabara nimejiprint kichwan. Usalama kwanza acha ujinga
 
Asante kwa kunitabasamisha.... Unajikanyaga balaa kwenye maelezo yako... Umeanza vizuri ila ulivomaliza ni shiiiida
 
Usishangae cku ukasikia au ukaona wametimba mjengoni na ng'ombe full magunia ya udaga na michembe
 
Back
Top Bottom