Camera yangu Samsung NX1000 lens yake size 28 - 50mm imepata shida, na sitaweza kuitumia tena. Natafuta lens nyingine. Iwe size yoyote, iwe kit lense au prime lens. Cha msingi ni maelewano ya bei. Kama una lens inayo-fit camera hiyo, naomba tuwasiliane PM. Asanteni sana.