Natafuta laptop ya kununua.

Kaka kiiza, anza na bei ndo tukupe specifications.
Nasema hivyo kwa sababu..kwa sasa niko Nairobi..kuna bnge la promotion from safaricom laptop hizo unazoambiwa lakinane unaweza kupata kwa kali tatu tu! am very serious mkuu..
kwa mfano:
acer eMachine 350 notebook ni 17,000kshs
acer aspire 5336z with bluetooth 35,000
hp compaq mini 110c 1120Ei 25,000
toshiba l500 204 46,000
hp compaq presario cq62 38,000
dell inspiron 1545 45,000
samsung n150 netbook 25,000

hizo ndo zipo sasa hivi...fasta kama uko serious! identify one na nitakuletea..
narudi bongo next week monday/tusday!
pamoja...
 
Kaka kiiza, anza na bei ndo tukupe specifications.
Nasema hivyo kwa sababu..kwa sasa niko Nairobi..kuna bnge la promotion from safaricom laptop hizo unazoambiwa lakinane unaweza kupata kwa kali tatu tu! am very serious mkuu..
kwa mfano:
acer eMachine 350 notebook ni 17,000kshs
acer aspire 5336z with bluetooth 35,000
hp compaq mini 110c 1120Ei 25,000
toshiba l500 204 46,000
hp compaq presario cq62 38,000
dell inspiron 1545 45,000
samsung n150 netbook 25,000

hizo ndo zipo sasa hivi...fasta kama uko serious! identify one na nitakuletea..
narudi bongo next week monday/tusday!
pamoja...


Kwahizi nilipo weka blue niambia spcftn zake in detail nitakupm kukupa bei!serious mkuu
Nadhani tunaweza kufanya biashara vizuri.
 
unataka mpya au used? ingekuwa vizuri ukasema bajeti yako then sisi tukupe inayokufaa kutokana na uwezo wako. Kumbuka kuna laptop ya dola 1800 na Laptop ya dola 250.

Pesa yako tu. Mpya na used zipo kwa wingi
 
I have a brand new Dell latitude E6400 for sale
Specs:
1GB of RAM, integrated graphics, Intel Core 2 Duo processor ( P8400 2.26GHz, 3M L2 Cache), a DVD player/CD-RW combo drive, 80GB hard drive and Vista Home Basic.
Battery capacity up to 19-hours of run time.

Dell Latitude E6400 Display and Graphics

The standard Dell Latitude E6400 display has a resolution of 1280×800 (WUXGA).

Price is 700,000 tshs. If interested call 0713123729 not later
Than this festive period
 
Are you tempering with our nerves or what?Merry X-mas!:redfaces:
Jamani i am still in demand tafadhali mwenye laptop pm me pls
KakaKiiza has chosen not to receive private messages or may not be allowed to receive private messages. Therefore you may not send your message to him/her.

If you are trying to send this message to multiple recipients, remove KakaKiiza from the recipient list and send the message again.
 
Kaka kiiza kuna yule member aliyeeka tangazo yupo usa kama mtu anahitaji kitu amwandikie email then yy atatuma mzigo umeshajaribu kumcheki? Mi pia natafuta laptop used kwa ajili ya dogo. Any help plz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom