Natafuta laptop ya kununua

Natafuta laptop ya kununua

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Habari zenu wadau....natafuta laptop yenye specification hizi hapa
Processor yake Dual core ( 2 CPUS) 2.1 GHZ, RAM 3 Gb, system manufacturer either Dell, Toshiba or HP, hard disk space 320 and above....mwenye kuuza plz inform me.....
Price negotiable naanza na Raki 5!
 
Kuna kitu hapa HP ProBook 4320s:Intel (R) core i3 CPU m370 @2.40GHz 2.40Ghz........................................(hii dual core)
Installed RAM 2.00GB
With window 7 brand new .

Kama unahitaji leo sema tufanye biashara ila bei yako si kwa kitu hiki itabidi upande kenda juu....ongeza senti hizo upande kitu pro...! Laki nane(8)
 
wabongo bana mtu keshaweka specfcation zake na wewe unaweka zako.kama we ni buznez man tafuta customer anachoitaji then fanya busness
 
wabongo bana mtu keshaweka specfcation zake na wewe unaweka zako.kama we ni buznez man tafuta customer anachoitaji then fanya busness

Nadhani utakuwa umeisoma vibaya sitaki kuamini kama uko bw*ge kaasi hicho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom