Natafuta Landlover TDI 110

Popo-

JF-Expert Member
Jan 21, 2022
282
575
Habari ya mchana?!

Natafuta Landlover kama nikivyosema kwenye kichwa cha habari. Serious seller anaweza post hapa picha na maelezo ya ziada pamoja na bei.

Naweza nisiwe mimi tu natafuta. Ukapata soko pia kwa mwingine.

Karibuni wauzaji na watumiaji pia tushare maujuzi kuhusu hii gari ngumu na nzuri kwa matumizi ya safari na rough roads.
 
Kuna pick up na station Wagon, be specific.
 
Opps sorry wakuu, nilikuwa offline

Natafuta station wagon
 
8b3e0c16fa389d929ce8839bac125260.png
 
Back
Top Bottom