NATAFUTA LAND ROVER FREELANDER DIESEL YA KUNUNUA below 100 km

NATAFUTA LAND ROVER FREELANDER DIESEL YA KUNUNUA below 100 km

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,119
Salaam ? natafuta gari ya kununua LAND ROVER FREELANDER Iwe ina km zisizozidi 100,000 pia isiwe imetumika hapa kwetu Tz, substitute yake iwe NISSAN X-TRAIL DIESEL Tafadhali mwenye nayo au anyejua pa kuipata ani- PM
 
Shukran mkuu tatizo sina uzoefu na risk zake pia,
rewards za risks ni nzuri sana kama ukiweza kuzikabili.
Mimi nimekuwa nikiagiza magari kwa muda mrefu sasa, nakushauri tu concentrate na big companies ili kupunguza risk.

Pili, kama uyaona risks ni kubwa, safiri ukafanye mipango huko huko.
Hili mimi nimelifanya hivi karibuni niliponunua gari ya bei kubwa kidogo.
Na wewe hapa hujataja mwaka wa gari, lakini unaongelea kitu kama dola 10,000. Zifanyie due diligence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom