Fontana_silver
Member
- Dec 26, 2015
- 54
- 47
Kwa yeyeto mwenye mawasiliano na dealer ambao wanazalisha vifaranga aina ya layers naomba anisaidieee juu ya gharama na mawasiliano ya watu hao
Kwa yeyeto mwenye mawasiliano na dealer ambao wanazalisha vifaranga aina ya layers naomba anisaidieee juu ya gharama na mawasiliano ya watu hao
hongera kwa kumiliki kiwandaMalawi pia wapoView attachment 718152
Kuku aina gani hawa,wanapatikana wapi?Kuku boraView attachment 820490
We jamaa poyoyo kweli yani unajib tuj Arusha! Arusha sehem gani weka na mawasiliano basi duu!Arusha