natafuta kiwanja maeneo ya mbezi beach ,bahari beach, tegeta, sinza au kijitonyama, ukubwa kuanzia sqm1500, budget yangu ni mil 30-55.
Kunduchi mtongaji(bei 25mil) kipo nyumba ya pili kutoka barabarani...0714 58 14 49
Mapinga 12M kwa eka 1 zipo 20 ekaz
zipo karibu na barabara inayoingia ndani upande wa beach
kam uko interested niPM
Kiegeya B - Morogoro - eka moja 50,000/= Elfu Hamsini ...........
Hivi unafikiri ukitaja tu Mapinga watu wanaijua??
Kwanin usijiulize mara mbilimbili kama post yako imekamilika ndipo uipost?
Wacha kukurupuka na kuweka tu comment zisizokamilika!!!
Kua kama great thinker wa ukweli
Mimi ninacho approx. sqm 800 hivi salasala kinzudi bei ni 10 m. Ni kizuri sana kama hutakuwa interested ukisikia mtu anaulizia namba yangu ni 0755 55 14 59.