Natafuta kiwanja

MARILYN

Member
Feb 23, 2011
96
15
natafuta kiwanja maeneo ya mbezi beach ,bahari beach, tegeta, sinza au kijitonyama, ukubwa kuanzia sqm1500, budget yangu ni mil 30-55.
 
natafuta kiwanja maeneo ya mbezi beach ,bahari beach, tegeta, sinza au kijitonyama, ukubwa kuanzia sqm1500, budget yangu ni mil 30-55.

Mimi ninacho approx. sqm 800 hivi salasala kinzudi bei ni 10 m. Ni kizuri sana kama hutakuwa interested ukisikia mtu anaulizia namba yangu ni 0755 55 14 59.
 
Kigamboni nje ya mji mpya...
Bei ni poa kabisa ni PM kwa maelezo zaidi.
 
Kunduchi mtongaji(bei 25mil) kipo nyumba ya pili kutoka barabarani...0714 58 14 49
 
Mapinga 12M kwa eka 1 zipo 20 ekaz

zipo karibu na barabara inayoingia ndani upande wa beach

kam uko interested niPM
 
Mapinga 12M kwa eka 1 zipo 20 ekaz

zipo karibu na barabara inayoingia ndani upande wa beach

kam uko interested niPM

Hivi unafikiri ukitaja tu Mapinga watu wanaijua??
Kwanin usijiulize mara mbilimbili kama post yako imekamilika ndipo uipost?
Wacha kukurupuka na kuweka tu comment zisizokamilika!!!
Kua kama great thinker wa ukweli
 
Haya ngoja nikamilishe

Mapinga ipo mkoa wa pwani bagamoyo
baada ya Bunju ndo unaingia mapinga
 
Kipo Mbezi Makonde katika njia ya kuelekea saint mary schools.kinauzwa sh 40mil.Au nikupatie kiwanja bunju b chenye ukubwa wa 1735 sqmt. Kina tittle deed.
 
Mimi ninacho approx. sqm 800 hivi salasala kinzudi bei ni 10 m. Ni kizuri sana kama hutakuwa interested ukisikia mtu anaulizia namba yangu ni 0755 55 14 59.

Pls Mimi niko interested, but would like to know how far kiko from the road, and the roads itself. Also if you have any pics
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom