candygrapez
Member
- Jul 21, 2009
- 12
- 3
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.
Ninazo ekari 300 ziko sokoni
ziko wapi na unauza bei gani mkuu?
mkuranga @ 500,000/=
Kuna mashamba hadi heka 100 bei chee na unalipa kidogo kidogo cha msingi uwe na uwezo wa kukiendeleza japo kidogo kuridhisha uongozi wa kijiji. Mimi nilikua nazo ila nikahama Dar basi kijiji wakamuuzia mtu mwingine. Piga namba 0755 527164 atakusaidia.
Nunua shamba maeneo ya Kisarawe.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr
habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.
nilisikia kiluvia kuna mashamba,kuna mtu anaweza kunipa taarifa zaidi katika hilo?au mtu mwingine mwenye taarifa ya maeneo mengine ,nitashukuru kwa mchango wako.
Ahsanteni.
njoo rufiji ikwiriri, eka 1 ni 50000

Nina hekari 20 hoyoyo,mkuranga.Maji ya kuchimba na umeme upo,km 3.5 from main road.Lipo along Mkuranga-Kisarawe road.habari ndugu zanguni?
ninaomba mnisaidie kwa hili,natafuta kiwanja/shamba maaeneo ya nje ya jiji la Dar kwa ajili ya investment kama ufugaji,kilimo au ujasiliamali mwingine ambao nitaona unafaa kwa hilo eneo,shamba liwe kubwa ekari 7 na kuendelea.k