Natafuta kiwanja nina 5M Dar es salaam

Natafuta kiwanja nina 5M Dar es salaam

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
179
Reaction score
152
Wandugu,

Ninatafuta kiwanja maeneo ya Madale, Bunju, Goba , Kimara sema budget yangu ni 5m Tanzania shilling. Mwenye nacho ani PM.

Ukubwa kuanzia 800sqm kwenda juu.
 
Nina Kiwanja, Sina picha, Ila negativu ninayo tutaenda shule ya Uhuru kusafisha.
Kiwanja Kiko Madale Ushuani, very well planed area.
Naomba details:
-Ukubwa wake ..?
-Bei yake..?
 
Njoo na 10m mkononi nikupe changu kiko madale.
 
kuna kiwanja kigamboni kwa hiyo pesa yako yuwasiliana haraka, kipo eneo zuri sana na umeme upo
 
Wandugu,

Ninatafuta kiwanja maeneo ya Madale, Bunju, Goba , Kimara sema budget yangu ni 5m Tanzania shilling. Mwenye nacho ani PM.

Ukubwa kuanzia 800sqm kwenda juu.
Mkuu viwanja vipo.
Last time niliongea na dalali mwenzangu maeneo ya bunju mwisho huko aliniambia kilikuwepo cha 6m.
0744033555 tuwasiliane tuone namna ya kusaidiana kwa hio ofa yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom