Natafuta kiwanja kilichopimwa malipo cash!

Natafuta kiwanja kilichopimwa malipo cash!

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Natafuta kiwanja kilichopimwa kama ifuatavyo;
Ukubwa sqm 1,000 hadi 1,500
Eneo liwe bunju, ununio, boko au salasala
Kisiwe katika mkondo wa maji
Kisiwe na mgogoro
Nyaraka ziwepo, tutaenda kujiridhisha ardhi
Huduma ya maji au umeme si lazima sana
Malipo 100% cash
Ambaye yuko serious karibu inbox
 
wale wazeee wa kazi waliposikia tunaenda kujiridhisha ardhi hata nyoko hawajasema.
 
Back
Top Bottom