Natafuta Kiwanja kidogo Dar Es Salaam

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,405
25,751
Habari zenu wakubwa, mimi ni mwenyeji wa Arusha, ila nina trip nyingi sana za Dar Es Salaam, nimefikiria si mbaya kama nitakuwa na kaenea na kujenga kajinyumba kangu kadogo kakufikia Dar Es Salaam, sasa basi niko na msako wa Eneo Dar kati ya maeneo yafuatayo: Tabata - Kimanga au Kinyerezi, Mbezi ya Tegeta, African yote, Tegeta Yote, Bunju .....
Nina ka budget kangu kadogo tu, between 4m - 5m. Ahsanteni.
 
Kaka pole au umeandika 40 Million maana maeneo uliyotaja ni ngumu kupata kwa hiyo bei. Nenda kigamboni.
 
Kuna viwanja vya bei hyo maeneo ya Vikunai. Karibu na kota za NSSF mtoni kijichi
 
Kuna viwanja vya bei hyo maeneo ya Vikunai. Karibu na kota za NSSF mtoni kijichi. Kama unataka ni pm
 
Habari zenu wakubwa, mimi ni mwenyeji wa Arusha, ila nina trip nyingi sana za Dar Es Salaam, nimefikiria si mbaya kama nitakuwa na kaenea na kujenga kajinyumba kangu kadogo kakufikia Dar Es Salaam, sasa basi niko na msako wa Eneo Dar kati ya maeneo yafuatayo: Tabata - Kimanga au Kinyerezi, Mbezi ya Tegeta, African yote, Tegeta Yote, Bunju .....
Nina ka budget kangu kadogo tu, between 4m - 5m. Ahsanteni.

Huwezi amini wabongo saizi wanaijua ardhi kuliko hata waarusha tena. Kwa bei hiyo maeneo hayo uliyotaja itakuwia ngumu, hebu uongeze kuanzia million 7 na kuendelea ndiyo angalau unaweza kupata kwa kubahatisha maeneo hayo.
 
Saba mitaa hiyo bado chini sana kwa kweli, usimpe moyo
 
Umetaja maeneo ambayo ardhi imekuwa deal huko andaa angalau 10m ila kwa 4m Pugu Kajungeni, Mbagala maji matitu, chamazi unapata bonge la uwanja.
 
Wazee Nashukuruni sana, nimepata Tabata Kinyerezi for 5m, hapajajengwa sana ila sio issue patajengeka tu, namaliza biashara kesho narudi kwetu Arusha KUJIPANGA, like linaendelea wazee.
 
Wazee Nashukuruni sana, nimepata Tabata Kinyerezi for 5m, hapajajengwa sana ila sio issue patajengeka tu, namaliza biashara kesho narudi kwetu Arusha KUJIPANGA, like linaendelea wazee.

Hongera uttoh2002 kiwanja ni deal sana siku hizi hasa D'Salaam maana jamaa wameijua ardhi balaa siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Mambo vp ?
Nina kiwanja segerea mzimuni nakiuza 6.5million bei ya biashara. umeme upo karibu na majirani wa ukweli.
 
ungenitafuta mie pia nina changu tegeta bei 7million pungufu unaongea...
 
unatafuta kuibiwa wewe.njoo nikupe kiwanja kinyerezi mwisho,karibu na kanisa pale, kwa bei ya millioni kumi ujenge.
 
Mambo vp wadau?

Kiwanja kipo jirani na hiyo nyumba inayopauliwa.
 
Attachments

  • DSC05372.JPG
    DSC05372.JPG
    745.5 KB · Views: 180
  • DSC05373.JPG
    DSC05373.JPG
    696.4 KB · Views: 155
  • DSC05374.JPG
    DSC05374.JPG
    712.1 KB · Views: 144
Nina viwanja ninauza vya kuanzia shiling million 2 , chanika , na kuna viwanja vipo Kingamboni , vimepimwa na kuna barabara na miundo mbinu yote , vinaunzwa kwa sq meta ,= 15000/=, kuna kuhanzia chenye ukumbwa wa 740m za eneo mpaka 1300 m za eneo , ikitanjia tuwasiliane Tel 0713 95-92-90
 
kipo kiluvya hakijapimwa 20x30 bei 3.5m 2km toka moro rd ni kiluvya madukan mkuu simu 0755859008
 
vipo viwili bunju usalama karibu na dogodogo centre dk 20 kwa mguu kutoka barabara ya lami, 20*17 ni 4mil na 20*20 ni 6mil 0659197822
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom