Natafuta kiwanja, Iringa Ifunda

Natafuta kiwanja, Iringa Ifunda

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
wanajamvi mambo zenu, natafuta kiwanja cha makazi au hata shamba kiwe maeneo ya ifunda au kibaoni hadi kufika kule secondary hata kwa juu juu kule...mlioko iringa maeneo haya kama unamjua mtu ukani hook up nae ntashukuru, kama pia mnamjua mtu wa ardhi iringa naomba msaada wenu wanakaya..natanguliza shukrani.
 
Chukua kiwanja banda beach!!!! Unakufahamu huko? Au lyandembela!!!!! Umenikumbusha ifunda the grolious technical school with long forever!!!!!!
 
nicheck 0712451120 unapata kiwanja safi maana ni maeneo yangu Kule.
 
Back
Top Bottom