Kiwanja kinauzwa madale mivumoni kids joy

Kiwanja kinauzwa madale mivumoni kids joy

Kanali_

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
7,539
Reaction score
11,812
Kiwanja kipo Madale, Mivumoni kids joy. Ukubwa ni Mita 15 kwa 33, Hati ya serikali ya mtaa na hakina mgogoro, mafuriko wala shida yoyote.

Bei Milion 20 (20m)

Kwa maelezo zaidi kuhusu kiwanja hiki hizi hapa namba za Sister anayehusika na kiwanja (Mimi nimemsaidia tu kulifikia soko) 0754656274
View attachment 3334816View attachment 3334817
IMG-20250503-WA0004.jpg
View attachment 3334818
 
Hivi serikali ya mtaa pia Ina mandate ya kutoa hati za viwanja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom