kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,959
- 2,618
Mimi natafuta kigamboni
Kigamboni nichek mkuu
Mimi natafuta kigamboni
anaetaka KIWANJA GONGO LA MBOTO MAJOHE VIWEGE KWA MPEMBA aje PM tuyajenge nauza BEI poa(njoo pm tutapatana) upana mita 23 urefu mita 20 kipo barabarani gari hadi uwanjani na kina msingi tayari wa nyumba ya kisasa ya vyumba vitano viwiri master kimoja cha mazoezi viwiri vya kawaida sebure jiko na stoo na public choo na nafasi inabaki ya kuingiza gari ndogo tatu pia ukitaka waweza jenga fremu mbele 7bu kipo barabarani mtaani nakupa na ramani kabisa ni mita 300 kutoka stand kwa mpemba ni changu ni mambo yameshakuwa taiti na kimfaacho mtu chake
more info njoo PM kwa pic na bei
NB:- kiwanja ni changu hakuna dalali wala takataka yoyote