NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Asante mkuu nitafuatilia.nenda kwenye ofisi za samsung pale j mall au msimbazi mkabala na kituo kikuu cha mwendokasi gerezani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mwenye nacho tuongee bei.Ni complete
Note8Kwani waliokupiga ndo walikuambia kua hilo famba ni NOTE 8??
Note8Kwani waliokupiga ndo walikuambia kua hilo famba ni NOTE 8??
We ni wa nyumbani sio?Note8
OG imepaukaa hivyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
+ Flash nyeupe kbsa, haina info za samsung nyuma mfn IMEI nkOG imepaukaa hivyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa haki huyu atakua kapigwa, jaman si mue mnaulizaa?Duh, kutoka note 8 hadi note 5, halafu bado mnamkazia kuwa ni copy! Muwe mna huruma nyie watu.
Mleta mada ametaka panapouzwa kioo cha note 8 tu. Kosa lake limekuwa kuweka picha ya note 8 yake.
Sasa kupigwa kulikujaje kwenu hamnyi pembeni.aliyeposti kwa niaba alikosea maraKwani waliokupiga ndo walikuambia kua hilo famba ni NOTE 8??
We ni wa nyumbani? Kubali kwanza ndo usaidiweSasa kupigwa kulikujaje kwenu hamnyi pembeni.aliyeposti kwa niaba alikosea mara
Hio n note 5 , ukienda dukan ukadai note 8 utaharibu tu pesa yako, au umebambikiwa kama n note 8 ukanunua, pili nina shaka km n OG huu mzigo
Sent using Jamii Forums mobile appsimu hiyo ni og labda aliyepost sababu ni msukuma ndo maana alikosea tu maelekezo.lakini kwa og ni og haswa
acha umakalio wenye akili washaelekeza mmebaki wazungu wajanja mnabwabwaja.We ni wa nyumbani? Kubali kwanza ndo usaidiwe
Poa wa Nyumbani. Karibu Daslamu.acha umakalio wenye akili washaelekeza mmebaki wazungu wajanja mnabwabwaja.
Sawa mama nimekaribia.Poa wa Nyumbani. Karibu Daslamu.