Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,423
- 7,911
Salaam wana jamvi, naomba msaada kama nitapata kioo cha star x inch 43 led Tv. nipo Katoro Geita, hata kikuukuu kama nikizima tutaelewana.
Nawasalisha.
Nawasalisha.
Ninacho,laki 3Salaam wana jamvi, naomba msaada kama nitapata kioo cha star x inch 43 led Tv. nipo Katoro Geita, hata kikuukuu kama nikizima tutaelewana.
Nawasalisha.
una cha Hisence inch 49 smart ?Ninacho,laki 3
je naweza kukipata! Kama ndio ni wapi?Mkuu jipange upate tv nyingine mana hicho kioo bei ni nusu ya tv mpya!!
Unacho Hisense inch 43 smartNinacho,laki 3