hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 173
nataka kioo cha huawei G660-L075
mwenye nacho anicheki
mwenye nacho anicheki
kwani model pekee haitoshi mpaka na picha,,au kuna uwezekan wa kuwa simu zote ni model moja alafu vioo viwe tofaut?Picha
kwani kuna ulazima wa wewe kuja hapa siuende kwa fundi moja kwa moja? jifunze kujibukwani model pekee haitoshi mpaka na picha,,au kuna uwezekan wa kuwa simu zote ni model moja alafu vioo viwe tofaut?
Wapi Nimekosea Kujibu,,,au Wew Jibu Langu Umelionajekwani kuna ulazima wa wewe kuja hapa siuende kwa fundi moja kwa moja? jifunze kujibu