Natafuta Kinyozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Kinyozi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mlonda, Jul 19, 2012.

 1. M

  Mlonda Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sifa:-
  1) Awe na ujuzi wa kutosha husiopungua miaka 2
  2) Awe mtaratibu na mwaminifu
  3) Awe na uwezo wa kunyoa nywele aina zote yahani za kiafrika, Kihindi, Kizungu, kisomali nk
  4) Awe anakaa karibu na Tangibovu maeneo ya Mbezi beach.
  5) Awe na umri kati ya miaka 19 na 35.

  Saloon ipo maeneo ya Tangibovu-Mbezi beach karibu na CONNER BAR, kwa mawasiliano zaidi apige simu 0713135070
   
 2. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mie ni kinyozi wa naniliu inahusika?
   
Loading...