Natafuta king'amuzi cha Startimes, nina Tshs 30,000/=

Natafuta king'amuzi cha Startimes, nina Tshs 30,000/=

jitahidi kujitangaza zaidi huenda ukapata kwa
aliyetayari kuuza yake jaamni waungwana sikieni kilio hichi
Dijitali ndio hiyoo imetushtukizia sie walalahoi hadi leo hatujaamini kama wamezima kweli na tunahisi watawasha tu analojia,

nahitaji kuwa dijitali na mimi ila ka uwezo kangu kadogo, nipo siriazi nahitaji king'amuzi cha star times na offer yangu ndiyo hiyo TSH 30,000/= , inawezekana hukitumii au umehamia dijitali ya ukweli dstv au unacho cha ziada na hukihitaji. Kikipatikana kile cha zamani itakuwa dili zaidi.

please pm me or call me 0752 858693​


  • Thank you in advance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom