Natafuta king'amuzi cha startimes pamoja na Tecno Camon X

Natafuta king'amuzi cha startimes pamoja na Tecno Camon X

Tour1234

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Habari wandugu, nahitaji king'amuzi cha startimes cha dishi dau langu 70,000/=. Pia smartphone aina ya Tecno camon x with dau nililonalo 180,000/=

Kwa Mawasiliano 0676994746.
Nipo Morogoro kwa sasa.
 
Tecno Camon X kuuziwa laki na 80 hebu uliza kama nzima pia. Hiyo na Camon X Pro ni miongoni mwa maingizo mapya ya Tecno na dukani ni kuanzia 310K.
 
Tecno Camon X kuuziwa laki na 80 hebu uliza kama nzima pia. Hiyo na Camon X Pro ni miongoni mwa maingizo mapya ya Tecno na dukani ni kuanzia 310K.
Nashukuru kwa kunifungua pia. Ahsante.
 
Back
Top Bottom