king'amuzi cha startimes kinahitajika

king'amuzi cha startimes kinahitajika

goldenball

Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
65
Reaction score
23
Wadau wa jukwaa,habari za majukumu.hope mnalisongesha life kama kawa.
.Hii inamuhusu yoyote mwenye king'amuzi cha startimes ambaye anataka kukiuza anakaribishwa tufanye biashara.Bajeti yangu ni 30,000 tsh,nahitaji kwa ajili ya kumpelekea bi mkubwa huko shamba naye awe anaburudika na ka kideo kake pale nyumbani.
Natanguliza shukrani.
 
uko wapi? nnacho huku mwanza. ukinipa 50000 ntakutumia popote ulipo tz
 
nipo Dar,ni vizuri kama ungekuwa Dar ili biashara iwe ya uhakika kwa pande zote.

mkuu hamna ubabaishaji hapa nakupa namba yangu ambayo naitumia toka 2006 na sina mpango wa kuiacha. njoo pm tupeane contacts.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom