Natafuta king'amuzi cha azam

Natafuta king'amuzi cha azam

mdalla 1

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
120
Reaction score
20
wadau anaeuza king'amuzi cha azam anicheki kwa 0752360188, nahitaji sana
 
km upo moro tufanye business nnacho Wamenivuruga sana sikuizi kitendo cha kukuunganisha kifurushi wanachotaka wenyewe yani nalipia cha 20,000 wanaunga cha ten, stupid by nature nakichukia kama chama cha CCM.
 
hilo tatizo linasovika kaka wapigie tu uwaeleze tatizo lako watakusikiliza coz mi nilikua na ishu kama hiyo nikawachek wakanirekebishia.
 
hawapokei mkuu af tigo wanakula chao kama kawa.
 
Back
Top Bottom