Natafuta kimwana

Natafuta kimwana

KIBONA G

New Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Jaman leo natangaza rasm kwa vimwana walio na mtazamo wa kimaisha kuwa natafuta rafiki ambaye baadae anweza kuwa mke wangu kwa watakaokuwa tayar waccte wanaweza kujibu hapa au ukiona hapakufai sana tumia kibonagharama@yahoo.com
 
Weka viambatanisho vifuatavyo
1,Mshahara au kipato chako cha mwezi ni Million ngapi
2.Una magari mangap,aina gani na rangi gani?
3.Una nyumba ngapi
4.Umezaa watoto wa nje wangapi?usije ukampa shida mtoto wa mwanaume mwenzio buree... Kwa vifaranga kibao ulivyototoa pembeni
5.Mwisho kabisa weka copy ya cheti chako cha angaza(immuno status)
Nina uhakika hapo utapata mwanamke tu kama credits zako zinasoma juu!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom