Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,283
- 4,111
Wakuu natafuta kijana wa shamba kutoka usukumani mshahara laki1
Wa kunisimamia shughuli zangu za shamba la miparachichi
Shughuli zenyewe ni kama ifuatavyo
1.Kutunza miti ya parachichi ikiwemo kupalilia,kumwagilia panapobidi na kuwekea mbolea
2.Kuchimba mashimo ya kupanda miche mipya (kwa msimu wa mvua )
3.Kupanda miche mipya na kuihudumia
4.kusadia kuvuna maparachichi msimu wa mavuno
Nb:
🚷Miaka zaid ya 40 (hapana wasije wakanifia shambani)
🚷Mtu anaetaka kurudi nyumbani mara kwa mara(Hapana)
🚷Ambae si mzoefu na kilimo (Hapana)
🚷Wanaume wa dar,pwani,zanzibar au visiwani (hapana)
🚷Watoto hapana