Mkuu Kuna kijana vgezo vyote anavyo Sema ni wa kike mkuu yupo dodoma mjiniHabari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
- Awe kijana wa kiume
- Amemaliza kidato cha nne
- Awe mwaminifu
- Awe mkazi wa Dodoma mjini
- Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
- Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki
Aliye tayari tuwasiliane.
Nimekucheki. ME yupoHabari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
- Awe kijana wa kiume
- Amemaliza kidato cha nne
- Awe mwaminifu
- Awe mkazi wa Dodoma mjini
- Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
- Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki
Aliye tayari tuwasiliane.
nakazia mana yashanikuta vijana wa sasa ni hovyo sana bora kuwa binti katika maesabu!Mkuu nakushauri uajiri binti,najua changamoto za kuajiri kijana wa kiume,utajuta,mambinti ni wazuri sana kwa swala la usimamizi was miradi kama hiyo
Pole sio wote.nakazia mana yashanikuta vijana wa sasa ni hovyo sana bora kuwa binti katika maesabu!
Labda awatafute wa kutoka kijijini kama Njombe huko au Singida ndanindani akija mjini baada ya mwaka akianza kuwa mjanjamjanja unamrudisha kwao unamsaka mwingineSasa vijana wa sikuhizi na uaminifu wapi na wapi?
Hawahawa wanaoshinda wanajadili Simba na yanga na kuwaza aifoni?
We mwajiri mkeo kwa mkataba kabisa,na uwe unamlipa kama mfanyakazi wako.
Mkuu Charity1 nishakutumia nambaHabari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
Aliye tayari tuwasiliane.
- Awe kijana wa kiume
- Amemaliza kidato cha nne
- Awe mwaminifu
- Awe mkazi wa Dodoma mjini
- Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
- Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki
Mnataka aajiri KE akimtia mimba mtamlaumu?
Unadhani yeye mwenyewe hajui kuwa kuna wanawake/wasichana?
Mkuu kwenye biashara hakuna wa kiume au wa kike Cha kuomba mungu akupe mwenye afadhaliMkuu nakushauri uajiri binti,najua changamoto za kuajiri kijana wa kiume,utajuta,mambinti ni wazuri sana kwa swala la usimamizi was miradi kama hiyo