Natafuta binti wa kuuza duka la nguo

candyloycious

Member
Sep 5, 2015
44
13
Natafuta binti wa kufanya kazi ya kuuza nguo pamoja na delivery
Duka lipo kigamboni ungindoni sokoni
Awe na sifa/vigezo vifuatavyo
Umri: 18 to 25
Awe na simu janja/smartphone
Awe mkazi wa kigamboni au maeneo jirani
Awe na kitambulisho pamoja na mdhamini endapo akiwa tayari

Kwa mawasiliano zaidi piga/whatsapp 0676169893
Au fika offisini kwetu kigamboni ungindoni sokoni.
 
Back
Top Bottom