Natafuta kijana wa kusimamia biashara

Natafuta kijana wa kusimamia biashara

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,300
Habarini za saa hizi.,kama kichwa cha habari kinavojieleza..natafuta kijana hasa wa kike wakusaidia kusimamia biashara..
Qualification.
1.Degree ya uchumi.
2.Uzoefu angalau mwaka mmoja
3.Awe mwaminifu sana.
4.Awe na uwezo mzuri wa kuandika bussness proposals..
5.Asiwe na mawazo mgando.
6.Wasichana watapewa kipaumbele.

Mshahara unaridhisha sana.utapewa na usafiri wa kukusaidia katika kazi.
Interested applicants ni pm tafadhari.
 
Ndugu ninavigezo vyote na pia nmewah kuwa na biashara yangu .nichague uone mafanikio .namba yangu n 0762394190.asante
 
Kwani mpaka awe na degree ya uchumi ndio aweze kusimamia biashara
 
Mkuu ni biashara gani labda ingebidi ujieleze vya kutosha ili wajue wanaanzia wap?
 
Kila siku njia za kutafuta wanawake zinaongezeka, tangazo la kazi haliwezi kuwa kihuni hivyo. UHUN,no wonder watazania baadhi mnatajwa kua na iq ndogo,na umeprove ilo.nakusamehe. bure.
 
Vijana wa jf acheni kudanganywa,kuna watu hapa kwa macho ya haraka haraka ukisoma post zao utaona wanaponda,kwa bahati mbaya jf kunakasumba ya kuangaliziana cha kupost akiponda wakwanza kwenye post angalau watakaofuata nao wataponda.kilichotokea kunawatu wanaponda lakini wameni P.M,sasa kuna wale ambao wao hawajitambui wao ni kugeza tu kilakitu.utakuta watu kama hao wanakaa kwa dadazao,pc yenyewe anayotumia kulogin jf ni ya shemeji,kwenye mambo ya msingi hao ndo wanakua wa kwanza kutukana na kubeza watu mitandaoni,why.? simply kwa sababu hawalipi bills so hawajui maana ya kuhustle.vijana tubadilike.
 
mwenye macho kasoma na kalakana ya ubongo kama ipo vizuri lazma kubadilika mkuu
 
Back
Top Bottom