Uko wapi mkuuHabarini wakuu,
Natafuta kijana au mtu yeyote aliyesomea Insurance (level yoyote), ambaye kwa sasa hana kazi lakini ana motivation, nidhamu, na utayari wa kufanya kazi kwa juhudi.
Nina mpango wa kusajili Insurance Agency, hivyo nahitaji mtu sahihi atakayenisaidia kuanzisha na kuendesha shughuli zake kuanzia hatua za mwanzo.
Kwa kuanzia:
Nitatoa support ya nauli na mahitaji ya msingi.
Hii ni nafasi kwa mtu anayetaka kujifunza, kukua, na kupata uzoefu wa moja kwa moja kwenye biashara.
Kadri biashara itakavyokua na kuanza kuhimili gharama zake, mshahara rasmi utaanza kulipwa.
NB: Hii nafasi inafaa kwa mtu mwenye uvumilivu, kujituma, na anayeelewa changamoto za kuanza kitu kutoka chini. Kama unatafuta kitu kilicho tayari kimekaa sawa, hii inaweza isiwe nafasi sahihi kwako.
Kama unaona unafaa, niPM.
Karibu.
nenda pm toa cv yako subiri majibu, kila la kheryUko wapi mkuu
Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?nenda pm toa cv yako subiri majibu, kila la khery
mtumie muhusika au m-qoute hapo chini akiingia jamii forum ataionaHabari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?
Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?nenda pm toa cv yako subiri majibu, kila la khery
Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?Habarini wakuu,
Natafuta kijana au mtu yeyote aliyesomea Insurance (level yoyote), ambaye kwa sasa hana kazi lakini ana motivation, nidhamu, na utayari wa kufanya kazi kwa juhudi.
Nina mpango wa kusajili Insurance Agency, hivyo nahitaji mtu sahihi atakayenisaidia kuanzisha na kuendesha shughuli zake kuanzia hatua za mwanzo.
Kwa kuanzia:
Nitatoa support ya nauli na mahitaji ya msingi.
Hii ni nafasi kwa mtu anayetaka kujifunza, kukua, na kupata uzoefu wa moja kwa moja kwenye biashara.
Kadri biashara itakavyokua na kuanza kuhimili gharama zake, mshahara rasmi utaanza kulipwa.
NB: Hii nafasi inafaa kwa mtu mwenye uvumilivu, kujituma, na anayeelewa changamoto za kuanza kitu kutoka chini. Kama unatafuta kitu kilicho tayari kimekaa sawa, hii inaweza isiwe nafasi sahihi kwako.
Kama unaona unafaa, niPM.
Karibu.
Nime ku PM unaweza kunitumia kwenye reply ya hiyo PMHabari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?
Habari. Nimejaribu kukutumia CV lakini PM inakataa. Nawezaje kuituma?
Habarini wakuu,