Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

Tafuta Corolla 100 au 110, ukipata Toyota Sprinter nayo poa mafuta ya buku 5000. Unatamba kuanzia Kwa Njeka,Mikanjuni, Bombo,Sahare mpaka Nguvu Mali.
Ukienda Chichi au La vida wakati wa kuondoka wafuasi hukosi.

Kama upo Serious, nikuchekie Toyota Corolla 100.
😀😀

"Mupe - mupe mutambe mutambae'"
 
Screenshot_20210221-142504.png
laki 4.5
 
Mkuu mimi ni dalali.
Nina uzoefu sana na gari za bei ndogo from 2mil to 2.5mil
Naomba hii tenda mkuu gari inapatikana vizuri sana
Nitumie sms 0744033555
 
Hahahaaaaaaaaaaa aiseeeee !!! Sikusoma hapo aisee hahaha 1.5m ni bei ya fekon au kinglion hiyo hahahaaa.
Gari za 1.5m zipo na hazihitaji hata marekebisho ni safari.
Toyota Corolla 100, Toyota Mark 2, Chaser Gr80 na 90 zote ndio Bei zake. Ukiwa mtu wa sound Kuna nyingine unabeba mpaka kwa Laki 9.
 
Gari za 1.5m zipo na hazihitaji hata marekebisho ni safari.
Toyota Corolla 100, Toyota Mark 2, Chaser Gr80 na 90 zote ndio Bei zake. Ukiwa mtu wa sound Kuna nyingine unabeba mpaka kwa Laki 9.
Aisee kumbe basi kama vp muunganishe jamaa hapo apate usafiri
 
Nashukuru Sana wadau nimepata toyota starlet ep82 iko poa kbs nakula nayo tu maisha,,, nawashukuru Sana kwa michango yenu maana nimeipata humu humu kwa mdau ni kama kaniachia tu baada ya kusoma hii thread
 
Hongera bro
 
Back
Top Bottom