Natafuta kifaa cha karibu a town

Za nyakati hizi mimi ni msichana age miaka 27 natafuta mwanaume karibu na mimi arusha au moshi .
Maana wa mbali kujenga mahusiano nitakuwa najidanganya mimi najiamini .
Ni mzuri ,mkarimu na pia napenda sana kupika , na mitoko.
Sifa kwa mwanaume
Mrefu wastani mzuri wa moyo na akivalishwa anavalika.
Awe tayari kunijali awe nakazi na elimu pia .
Umri 30 - 36 sitaki kuwa na wazee sanaa .
Nitazeeka pia .
Najiamini sipendi watu serious hata hawacheki napenda watu wacheshi na saa yakazi ni kazi .
Awe mkweli kabisa .
Kunijali ni sawa .
Nataka wakuniliwaza sio wa kero na stress .
Kama uko single ni pm only arusha and moshi plz.
Kuoana ni mipango kama ikitokea poa .
Ila kuwa na kampani sio mbaya.
Karibuni kwa masingle boys.
Na wewe unanyege leo umeamua kuvunja ukimya isije ikaota utando
 
Kila la heri bibie..kua makin humu wengine watakuja ili kutaka kuona uzuri wako tu
 
TISS wanakuja na gia yao mpya. .kuna mtu wanamtafuta hapa! Watch out!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom