Unajua karibu pia sio mbayaNimependa hapo eti saa ya kazi ni kazi !! Siyo nanihilu moja tu jamaa anakupa mgongo! Mimi nimezeeka kidogo ila hii ningeiweza.
Jamani kuna relation ya kukaa nakuangaliana ??Mgegedo utaruhusiwa kwenye hiyo relationship??..
Karibu bossyHaya naenda...
Shukrani boss.Karibu bossy
Hauwezi kujifunza kujibu ujumbe unaoona ni mzuri kwako?
Labda anataka kuwa MPENZI MTAZAMAJIJamani kuna relation ya kukaa nakuangaliana ??
Labda ila hapa nikazi tuLabda anataka kuwa MPENZI MTAZAMAJI
OkeyWrite your reply...nakuja pm nisubiri
Hamjawa wala kuhitaji kampani sio mbayaHakika wanaume tunazidi kuwa adimu.
Mi sio wa hivyo mabia no usiku no nataka nimjue mtu akiwa hajalewaNjoo hapa elyspark tunywe mbili tatu kwanza
Ngoja ninunue gauni kabisa ninaweza kuletewa kadi ya harusi hapaUnanisaidiaje dada yangu?
Anza mafunzo ya uenyekiti wa kamati.Ngoja ninunue gauni kabisa ninaweza kuletewa kadi ya harusi hapa
🍾🍾🍾ni pamoja na kufungua champagneAnza mafunzo ya uenyekiti wa kamati.
Na kukata ndafu.🍾🍾🍾ni pamoja na kufungua champagne