ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 883
- 1,491
Za nyakati hizi mimi ni msichana age miaka 27 natafuta mwanaume karibu na mimi arusha au moshi .
Maana wa mbali kujenga mahusiano nitakuwa najidanganya mimi najiamini .
Ni mzuri ,mkarimu na pia napenda sana kupika , na mitoko.
Sifa kwa mwanaume
Mrefu wastani mzuri wa moyo na akivalishwa anavalika.
Awe tayari kunijali awe nakazi na elimu pia .
Umri 30 - 36 sitaki kuwa na wazee sanaa .
Nitazeeka pia .
Najiamini sipendi watu serious hata hawacheki napenda watu wacheshi na saa yakazi ni kazi .
Awe mkweli kabisa .
Kunijali ni sawa .
Nataka wakuniliwaza sio wa kero na stress .
Kama uko single ni pm only arusha and moshi plz.
Kuoana ni mipango kama ikitokea poa .
Ila kuwa na kampani sio mbaya.
Karibuni kwa masingle boys.
Hv ni kwann mkija kutafuta wanaume humu huwa lazima msisitize kuhusu Elimu na Kazi,hi ni nani kawafundisha hii tabia Mbaya kabisa.