Natafuta kazi

Natafuta kazi

solanum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
203
Reaction score
99
Nina degree ya food science and technology, kwa yeyote mwenye nafasi naomba anisaidie nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote.Natanguliza shukrani.
 
Mimi nina Bachelor of science in food science and Technology, natafuta kazi sehemu yeyote.

Naombeni msaada wenu 0758 106 501 kwa mwenye kazi atanipata.
 
Habari zenu jamani
Mimi hapa natafuta kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula sawa maana hapa nilipo sina hata sehemu ya kulala nimehifadhiwa kwa rafiki yangu. Nipo dar ni mwanaume elimu yangu ni Bachelor degree of science in food science and Technology. Nisaidieni jamani naumbuka napatikana kwa 0758 106 501. Nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa bado kimya tu.
 
Duh pole sana mkuu zidisha maombi hakika utafanikiwa
 
Habari zenu jamani
Mimi hapa natafuta kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula sawa maana hapa nilipo sina hata sehemu ya kulala nimehifadhiwa kwa rafiki yangu. Nipo dar ni mwanaume elimu yangu ni Bachelor degree of science in food science and Technology. Nisaidieni jamani naumbuka napatikana kwa 0758 106 501. Nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa bado kimya tu.
Wewe ni foodist kweli au unatania
 
Go back home, tafuta mtaji halafu fungua project yako. Utakuwa umewasidia na wengine kupata ajira
 
Habari zenu jamani
Mimi hapa natafuta kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula sawa maana hapa nilipo sina hata sehemu ya kulala nimehifadhiwa kwa rafiki yangu. Nipo dar ni mwanaume elimu yangu ni Bachelor degree of science in food science and Technology. Nisaidieni jamani naumbuka napatikana kwa 0758 106 501. Nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa bado kimya tu.
mkuu hebu check bakhresa na mohamed enterprises,ila nijuavyo hizi kazi zipo nyingi we tulia usiendeshwe na pressure ya maisha ,au rudi ulikofanyia field kidogo uombe upate experience
 
Tafuta shule yenye masomo ya food and nutrition ukafundishe hku ukiendelea kujipanga kk.
 
Back
Top Bottom