Natafuta kazi

jamani waungwana nisaidieni ninauwezo wa kufanya kazi sehemu mbalimbali kama kuuza madukani migahawani na saluni mbalimbali
 
Hyo id yako inaweza ikakupunguzia credit .chizi ni nick name au la ukoo au la ubatzo'
 
mweny kuhtaji dada wa salun ya kiume,dukani,mgahawani,natafuta kazi jaman nsaidieni
 
Jamani picha ya nini??? Kwan biashara ni sura au kazi???
 
picha pia muhimu dadangu kwani kuna kazi unapwa kutokana na mwonekano wa umbo na sura pia, huo ndo ukweli. Ujuzi plus urembo.
 
njoo ukae na mtoto mshahara elfu 30 , chakula mavazi juu yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…