ladykim
Member
- Dec 28, 2012
- 67
- 17
Wana jamvi la jamii forum humu ndani kuna watu wa aina mbali mbali nimekaa mtaaani naona kunanishinda kila siku kuangalia mzazi anaenda ofisin anaona huyu mtoto mbona hapati kazi nimejitaidi kuomba ila bado sijafanikiwa sina mtaji wa kujiajili nimesomea sheria udsm
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums