Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 807
- 1,076
Nimekunywa Fanta orange.Kijana umelewa??
Nimekunywa Fanta orange.Kijana umelewa??
Ukipigwa na maisha hata kuandika naomba kazi halali unashindwa 😂Nilitaka nikomenti hivi analeta jeuri kwenye hamna
Tusi gani??Unatukana mtu wa tabora kwanini
KLMYTusi gani??
Eti nini Akili finyu
Unaweza hiyo kazi?Nina Akili Ndogo Sana ile nyie. Psychological games.