Natafuta kazi

sanzy

New Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Habari wakuu Mimi ni kijanaa mwenyewe umri wa miaka 28 mkazi wa chalinze . Nina uzoefu katika nyanja za Sales and marketing, Security, waiter na kuprint.

Naombeni sana sana wakuu wajukwaa mnisaidie kazi , nipo willing kufanya kazi yeyote na mahali popote , pendekezo ni DSM na Arusha .0763493987. Asante
 
Saw subiri wakuu waje
 
 
Tuma CV yako kwa namba Hii Whasaap 0692672194
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…