Valence Cheti
Member
- Aug 7, 2018
- 5
- 3
Jaribu hapo kuna nafasi nyingi za jobHabari WanaJF,
Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree
Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya nafaka,computer au laptop in case duka la aina yeyote Ile kwani kazi hizo ni mzoefu nazo na nimezifanya kwa weledi wa kiwango Cha juu Sana ko hazinisumbui Wala Sina Cha kujifunza zaidi Bali Nina uwezo wa kuorganize na kuinfluence biashara ikawa nzuri zaidi na zaidi pia naweza nikafanya kazi ya kuwa supervisor katika kampuni yeyote Ile pia naweza kubeba vitu na kupark store
Hivyo kwa yeyote mwenye fursa mojawapo au zote tajwa hapo juu au anajua wapi zinapatikana au wapi naweza pata fursa hizo kwa uaminifu wa Hali ya juu Sana naomba tuwasiliane namba yangu ni 0712035352.
Pls nisaidie nikusaidie.
Napatikana mda wowote ule hata kuanza Sasa Kama unayo tuwasiliane zaidi
Acha utapeli mkuu,Wahasibu 22 wanaenda kufanya nini?Jaribu hapo kuna nafasi nyingi za jobView attachment 2145903
Dada naomba usije rudia kuniita majina yenye kunajisiwa, tena ukome na ukomae, tapeli kitobo chako cha chini ya kalio bwege wewe...😏Acha utapeli mkuu,Wahasibu 22 wanaenda kufanya nini?
Afu moshi hakuna kiwanda kinachoitwa hivyo..maji ya Kilimanjaro yanazalishwa na Bonite bottlers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada naomba usije rudia kuniita majina yenye kunajisiwa, tena ukome na ukomae, tapeli kitobo chako cha chini ya kalio bwege wewe...[emoji57]
Fake❌Jaribu hapo kuna nafasi nyingi za jobView attachment 2145903
Acha ubishi...hakuna kazi hapo.Dada naomba usije rudia kuniita majina yenye kunajisiwa, tena ukome na ukomae, tapeli kitobo chako cha chini ya kalio bwege wewe...[emoji57]
Yafaa kabisa nikufanye school managerNaomba ukishamalizia hiyo shule yako uniajiri kama headmistress. Huu unabii ulionitamkia wa kuwa mwalimu mkuu utimie.