halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
Wanaotoa comment za kukukera nia yao kukukatisha tamaa ndugu yanga usiwajibu!.. muda mwingine kukaa kimya ni jibu tosha mama kila kheri Mungu akusaidia katika hitaji lako.Nipo makini baby ake
Seriously umeni impress no matter maneno unayotupiwa we umekazana na PM....great ...nimekupenda bureNimejisikia
Kuchora SABA nayo ni kaziAre you sure???? Uliingia kwenye pm yangu
Kweli kabisa mamii better kukaa kimyaWanaotoa comment za kukukera nia yao kukukatisha tamaa ndugu yanga usiwajibu!.. muda mwingine kukaa kimya ni jibu tosha mama kila kheri Mungu akusaidia katika hitaji lako.
Ni private messagePrivate massage
Kama hiyo avatar it's yours nakuja pmWanaotoa comment za kukukera nia yao kukukatisha tamaa ndugu yanga usiwajibu!.. muda mwingine kukaa kimya ni jibu tosha mama kila kheri Mungu akusaidia katika hitaji lako.
Mkuu avatar yako umesharudishiwa?Kila la heri ila ungeweka elimu yako hapa ili wajue vizuri... Form 4, 6 , degree, masters au phd
PRIVATE MESSAGE
JAMANI NA MIMI NI KIJANA WA GRAPHIC NAWEZA TENGENEZA LOGO,BROCHURE, BUSINESS CARD NA POSTER ZA KILA AINA NAWEZA KUFANYA KAZI BURE BILA KULIPWA KWA MWIKI TATU ZA KWANZA ILI UNITEST UONE KAMA NATANIA/NAMAANISHA KWA MWENYE INTEREST NAMI WHATS APP 0629541980
SOFTWARE NAZOTUMIA NI
ADOBE PHOTOSHOP CC2017
ADOBE ILLUSTRATOR CC2017
ADOBE INDESIGN CC2017
LAKINI PIA NI MWANAFUNZI WA CHUO CHA SOKOINE MWAKA WA PILI BSC.INFORMATICS
nimekupata mkuu nilikuwa nataka kazi hiyo kakaKwa hiyo unataka uajiriwe ?
Mimi nadhani una nafasi nzuri zaidi ya kujiajiri
Tengenza logo na brochures kama sample na uzitangaze mitandaoni (kama anavyofanya Logoriddim) utapata wateja
Biashara za siku hizi zinataka kujitangaza sana kwa hivyo wenye uhitaji wa logo na vitu vya aina hiyo ni wengi
Avatar original ipo mkuu...ila hii nimeiweka kwa maana bado kuna mwingine anaitumia ile hataki kubadilishaMkuu avatar yako umesharudishiwa?