Natafuta kazi

Natafuta kazi

unapatikana wapi? unaweza kufanya kazi mkoa wowote hapa tz? vipi kuhusu Elimu?
 
Hellow
Ni matumaini yangu wote mpo wazima.......ningependa kupata kazi katika post zifuatazo
Customer Care
Office Administrator
Credit officer: hapa sina experience ila najua nikipata training nitakuwa vizuri
Marketing officer

NOTE:
Kama kuna mtu atakuwa anauhitaji na mimi anaweza kunicheck pm kwa maelezo zaidi pamoja na elimu yangu

Ni matumaini yangu nitaweza kupata msaada!!! Thanks
Nitumie Cv yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks...yes nimeficha kwasababu nikitaja hapa wengi watanijua

Hamna mtu atakaenisumbua
Wenzio wanaweka CV zao online wewe unaona shida tu kuweka level ya elimu yako,are u serious,je wakikujua nn cha ajabu? Kutafuta kazi? Au upo kwenye ajira una hofu bosi wako atajua unatafuta kazi mpya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Ndio Mwenye shida, halafu tukupm haya bana Kama kazi zinatafutwaga hivi tunakuja.
 
Hellow
Ni matumaini yangu wote mpo wazima.......ningependa kupata kazi katika post zifuatazo
Customer Care
Office Administrator
Credit officer: hapa sina experience ila najua nikipata training nitakuwa vizuri
Marketing officer

NOTE:
Kama kuna mtu atakuwa anauhitaji na mimi anaweza kunicheck pm kwa maelezo zaidi pamoja na elimu yangu

Ni matumaini yangu nitaweza kupata msaada!!! Thanks
Unatafuta bwana wewe siyo kazi..!

Kama elimu ni zaidi ya degree unatafuta kazi kwa namna hii ujue ipo shida aisei..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom