Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,562
- 21,516
Nimesoma comments zote anazojibu huyu Dada kiukweli waajiri wanakazi haswaa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sent From My Nokia Ya Tochi
Na watu hawatakupa kazi kwa maana yaoMimi nimeamua kutokuweka kwa maana yangu
ThanksBaraka hizo zikurudie pia!
OkayHaya maneno umesema wewe..!
Are you sure???? Uliingia kwenye pm yangu
NimejisikiaMbona unauliza maswali ya kitoto..!???
OkayHuna shida wewe ya kazi, yani muajiri akufuate kukuuliza elimu yako badala ya wewe kujianika kwa kila Kitu hapa.
Vijana Wa kitanzania tubsdilike jamani, ulipaswa kuweka kila Kitu kwenye post yako
Sent From My Nokia Ya Tochi
Kumbe eeenhNimesoma comments zote anazojibu huyu Dada kiukweli waajiri wanakazi haswaa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sasa mimi ninayetafuta sijajisikia kuweka period
You still hv long distance to go..! Ask yrslf if hv enough time to accomplish the trip..Nimejisikia

Are you sure???? Hahahahaaaaa aiseee jf uwa mnanipa raha sanaYou still hv long distance to go..! Ask yrslf if hv enough time to accomplish the trip..![]()
Nipo makini baby akeKUWA MAKINI SANA WATU WANADUKULIWA SANA KUPITIA VITU HIVI..
Endelea kucheka but ukimakiza safari ni kwa hisani..! Rejea post yangu ya kwanza niliyotuma kwa huu uzi..!Are you sure???? Hahahahaaaaa aiseee jf uwa mnanipa raha sana
Pambana na hali yako.......acha na mimi nipambane na yangu please......wewe sio Mungu wala mzazi wangu coz hauwezi kunipangia chochoteEndelea kucheka but ukimakiza safari ni kwa hisani..! Rejea post yangu ya kwanza niliyotuma kwa huu uzi..!
Mafanikio kiduchu au makubwa ni zao la akili yako..! Kama average utapata average tuuh..! Siwezi kukupangia maana ata ningeweza kukupangia wenda akili yako haiwezi kukabili hiyo mipangoPambana na hali yako.......acha na mimi nipambane na yangu please......wewe sio Mungu wala mzazi wangu coz hauwezi kunipangia chochote


Ndo hauwezi sasa kunipangia hata siku moja.......akili ni nywele kila mtu ana zake periodMafanikio kiduchu au makubwa ni zao la akili yako..! Kama average utapata average tuuh..! Siwezi kukupangia maana ata ningeweza kukupangia wenda akili yako haiwezi kukabili hiyo mipango![]()
Cv sidhani kama inaweza kufanya kujulikana.Thanks...yes nimeficha kwasababu nikitaja hapa wengi watanijua
Hamna mtu atakaenisumbua