Natafuta kazi

Natafuta kazi

Unatafuta bwana wewe siyo kazi..!

Kama elimu ni zaidi ya degree unatafuta kazi kwa namna hii ujue ipo shida aisei..!
Wewe umeona hili tangazo la kutafuta bwana??? Or hii ni love connect??? Jiongeze basi

Hayo ya elimu yangu hayakuhusu nina certificate basi.......hapo tu sijasema elimu yangu mnaongea hivi je ningeweka hapa si ndo mngeniambia mimi muongo!!! Nilijua na ndo maana nikasema kuhusu pm wenye uhitaji na watu wameshanifata endelea kutoa povu
 
Ata uwe na phd, yanaweza kuwa ni makaratasi ila uwezo wa kupambana na mazingira(emotional intelligence) unaweza kuwa bado iko zero..!

Rafiki kusoma ni moja, matumizi ya elimu uliyopata kutatua changamoto za mazingira yanayokuzunguka ni la pili..! So jipime mwenyewe unavyoshughulikia tatizo la ajira(unavyotafuta kazi) utajua km ni u small brain au vipi
 
Basi mimi ni zero brain
 
Hellow
Ni matumaini yangu wote mpo wazima.......ningependa kupata kazi katika post zifuatazo
Customer Care
Office Administrator
Credit officer: hapa sina experience ila najua nikipata training nitakuwa vizuri
Marketing officer

NOTE:
Kama kuna mtu atakuwa anauhitaji na mimi anaweza kunicheck pm kwa maelezo zaidi pamoja na elimu yangu

Ni matumaini yangu nitaweza kupata msaada!!! Thanks
Unaona aibu kuweka elimu yako wazi?
 
Aibu ya nini?
Huko serious,unless otherwise ungeandika kwamba mimi ni mhitimu wa elimu ya kiwango fulani,nimefanya one two three na naomba kazi...Watanzania hatupendi kuchimba chimba,unatafuta kazi kisha unataka mwenye kazi akufuate PM kama anaomba uchumba?
 
Ooohhh okay
 
Huna shida wewe ya kazi, yani muajiri akufuate kukuuliza elimu yako badala ya wewe kujianika kwa kila Kitu hapa.

Vijana Wa kitanzania tubsdilike jamani, ulipaswa kuweka kila Kitu kwenye post yako

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom