Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Hellow ni matumaini yangu wote mpo wazima ningependa kupata kazi katika post zifuatazo Customer Care ,Office Administrator Credit officer hapa sina experience ila najua nikipata training nitakuwa vizuri marketing office
NOTE:
Kama kuna mtu atakuwa anauhitaji na mimi anaweza kunicheck pm kwa maelezo zaidi pamoja na elimu yangu
Ni matumaini yangu nitaweza kupata msaada!!! Thanks
NOTE:
Kama kuna mtu atakuwa anauhitaji na mimi anaweza kunicheck pm kwa maelezo zaidi pamoja na elimu yangu
Ni matumaini yangu nitaweza kupata msaada!!! Thanks