HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
Wadau nmemaliza mwakajana chuo na nimesomea special education na deal na wanafunzi wenye mahitaji maalumu na subiri mtukufu atoe ajira hadi leo hii nasota kitaa ningesoma education yakawaida ningeenda hata private hivyo naombeni kazi yoyote hata ya kuuza butcha ntafanya life limekuwa gumu balaa asanten