Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Prisila, Feb 8, 2011.

 1. P

  Prisila Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Nimemaliza k/4 nimefeli natafuta kazi naomba mnisaidie.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Kusafisha mabanda, kuandaa chakula na kuwalisha, kuwapiga mswaki nguruwe: kazi masaa tisa kwa siku: mshahara elf60 kwa mwezi: UNAWEZA?
   
 3. P

  Prisila Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hta kwetu wapo ndyo zmenishnda hzo
   
 4. r

  rmb JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mdogo wangu jipange upya urudi shule, ukitaka kunyanyasika maisha yako yote basi endelea kutafuta hiyo kazi na wakati elimu yako duni!
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Safi sana, amini nakwambia: kwa elimu yako ndugu achana na kutafuta kazi za kuajiriwa! Utautafuta umaskini.
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kazi gani zaidi ya ushamba boy? rudia mitihani ufaulu uendelee na masomo. ukipewa kazi ya kukata majani ya ng'ombe utakubali?
   
 7. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tafuta hela anza biashara achana na mambo ya shule sio fani yako.

  U just need to be disciplined to succeed in business.

  Biashara yeyote hata kupaka rangi za kucha inalipa, imagine unapata up to 50,000 per day kama una mkono mzuri wa kupaka rangi kucha
   
 8. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hebu nitafute. 0715 997688
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hiyo hela anaitafutaje sasa? Mpe hayo maujanja. Halafu kwanini unamwambia aachane na shule?
   
 10. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,048
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Hii kali sijui waweza kweli hii. Ama ndoto za Alinacha
   
 11. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jf kwa utani duu!
  Mwenzenu kakamatwa mnamletea masihara?
   
Loading...