Natafuta kazi za ndani

Feb 14, 2017
30
14
Habari wakuu, natafuta kazi za ndani ,ndani ya Jiji la Dar mwenye uhitaji ani SMS kwa no 0625 553897 nipo serious siitajii mizaha na kejeli.
 
Nakuonea huruma, baba yupo nyumbani kwa forgery saga hana hela ya kuchepukia sasa ukienda si ndio anakua kapata ahueni? plus mtoto wa bosi nae
 
Hatafuti kazi huyo, mpigie ujue anachotafuta.

Maana kuna zile style mtu anatangaza nauza hiki kumbe anauza kingine.
haha nashangaa sana nimempa uzi wa asubuhi wa mtu anayetafuta mfanyakazi wa ndani halafu ananimbia anataka text huyu hafai

ngoja nimfwate yule mdau anayetafuta mfanyakazi ni mwambie huyu ampotezee kabisaa anaonyesha anakiburi na majigambo:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:


na ni gaidi pia chineeke
 
hhaha nashangaa sana nimempa uzi wa asubuhi halafu ananmbia anataka text huyu hafai ngoja nimfwate yule mdau anayetafuta mfanyakazi ni mwambie huyu ampotezee kabisaa anaonyesha anakiburi na majigambo
Utakuwa umefanya vizuri, wapo walio serious watachukua no nakufata maelekezo niliyoyatoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom