Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,499
- 1,302
Huyo ndio mkakati wake, msome vizuri...tehetehe huyu akiingia kwenye nyumba ya mtu anapindua serikali nzima awe mke wa mwenyenyumba atude yake si nzuri
Huyo ndio mkakati wake, msome vizuri...tehetehe huyu akiingia kwenye nyumba ya mtu anapindua serikali nzima awe mke wa mwenyenyumba atude yake si nzuri
Inaonyesha wewe ni mbishi na huna staha. Endelea utapata tu lakini ushauri wangu badilika kabla hujapata hiyo kazi. Nina jamaa anahitaji mdada wa kazi lakini wewe hufai
kwakweli huyu anakiburi kabisa ama ana lake jambo anatafuta hapa sio kaziInaonyesha wewe ni mbishi na huna staha. Endelea utapata tu lakini ushauri wangu badilika kabla hujapata hiyo kazi. Nina jamaa anahitaji mdada wa kazi lakini wewe hufai
Sasa nimemuelewa mleta thread aiseeeee......Huyo ndio mkakati wake, msome vizuri...
Kaka, mdada wa kazi yuko JF anataka kutumiwa SMS?? Jiongeze mkolosai...
Nimewagundua wote nyinyi dhamili zenu poleni.Inaonyesha wewe ni mbishi na huna staha. Endelea utapata tu lakini ushauri wangu badilika kabla hujapata hiyo kazi. Nina jamaa anahitaji mdada wa kazi lakini wewe hufai
Matangazo ya biashara hayo.Inaonyesha wewe ni mbishi na huna staha. Endelea utapata tu lakini ushauri wangu badilika kabla hujapata hiyo kazi. Nina jamaa anahitaji mdada wa kazi lakini wewe hufai
Mpendwa ebu funguka.niambie.ni mambo yetu yaleee.?Nimewagundua wote nyinyi dhamili zenu poleni.
Wewe una kifaduro jike?Nimetoa no ,nimesema mwenye uhitaji ani SMS.
Tuma picha whatzap 0757227221 tuwasiliane tafadhali.Nimetoa no ,nimesema mwenye uhitaji ani SMS.
Ebu ngoja nikamate fursa aiseee......Hatafuti kazi huyo, mpigie ujue anachotafuta.
Maana kuna zile style mtu anatangaza nauza hiki kumbe anauza kingine.

Tayari nimesha muelewa aiseeee.....Ametoa namba yake. Hujaelewa tu anachotafuta?

Ebu ngoja nikamate fursa aiseee......
Naona mbuzi ameria kwa muuza supu....![]()
![]()
![]()
hahahaha eti iwe bojooo....Yaani nimechoka!!
Kweli dunia ina mambo... halafu anajibu kwa hasira kabisa, iwe bojoo...