Natafuta kazi za ndani.....Mshahara maelewano

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,841
Reaction score
37,579
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.

Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B
 
Last edited by a moderator:

What do you mean, una msichana wa kazi anatafuta kazi au?
 
Hujasema upo wapi, inawezekana ukawa Iringa ukafanya kazi Dar na kurudi!!!
 
Ha ha ha ha, MamaBeata njoo huku.

Madame unataka akina mama tujitwishe gunia la misumari? Hg anakarangiza chai kama Maya wa tamthilia?
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.

Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B

Member wa JF umfanye beki tatu wako! unajitaka?
Kila la kheri banaaaa.... nimekumisije!
 
heeeeeee shostito unatafuta msichana wa kazi au unaye au ndo wewe mwenyewe? sijakuelewa hapo bestito?
 
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.

Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B

Unaweza kupika chakula cha kihindi?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, MamaBeata njoo huku.

Madame unataka akina mama tujitwishe gunia la misumari? Hg anakarangiza chai kama Maya wa tamthilia?

Mwenzangu house girl mjuaji mno hapana. Ni heri awe mshamba kidogo. Mjanja asije kunitoa jasho.
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu house girl mjuaji mno hapana. Ni heri awe mshamba kidogo. Mjanja asije kunitoa jasho.

huyo mshamba ndiyo majanga, faza hausi lazimaatataka kuonja kuku wa kienyeji, nani hapendi supu ya kuku wa kienyeji!! bora lijanja la mjini akiliona halina tofauti na bar maid analipotezea!
 
Hahahahaha umetisha
 
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.

Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B
Weka picha yako ya mwonekano wako nyuma na mbele tuone ikiwa una sifa.
 
Back
Top Bottom